• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanariadha avamiwa na majambazi na kujaribu kumkata miguu kwa msumeno.

    (GMT+08:00) 2018-03-08 09:19:48

    Mwanariadha wa Afrika Kusini Mhlengi Gwala nusura akatwe miguu aliposhambuliwa na kundi la wanaume alipokuwa anafanya mazoezi jumanne alfajiri pwani ya Durban.

    Polisi nchini humo wamesema wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo licha ya kuwa mwanariadha huyo hakuwafahamu washambuliaji hao. Mwanariadha huyo amelazwa katika hospitali huko Kwazulu-Natal.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako