• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wenger apigiwa kura ya kuondoka

    (GMT+08:00) 2018-03-08 09:31:54

    Kundi la mashabiki wa klabu ya Arsenal maarufu kama Arsenal Supporters Team (AST) limepiga kura ya kukosa imani na kocha Arsene Wenger na maamuizi ya kura hiyo yakiwa ni kocha huyo Mfaransa aachie ngazi mwishoni mwa msimu huu.

    Imeelezwa kuwa asilimia 88 ya wanachama wa kundi hilo wamepiga kura na kuadhimia katika kikao kuwa watawasilisha maoni yao kwa uongozi wa klabu hiyo ili maoni yao yafanyiwe kazi.

    Uamuzi huo wa kupiga kura umekuja katika kipindi ambacho Arenal imepoteza mechi nne mfululizo katika mashindano matatu tofauti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako