• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda:Mfumko wa uchumi kuongezeka kwa asilimia 5

  (GMT+08:00) 2018-03-08 18:55:13

  Mfumko wa uchumi nchini Rwanda unatarajiwa mwaka 2018 kutoka asilimia 4.9 mwaka 2017 kwa mujibu wa benki ya kitaifa ya Rwanda.

  Gavana wa Benki biyo Rwanda John Rwangombwa amewataka wananchi kuondoa hofu kuhusu hali hiyo akisisitiza kwamba serikali itabuni mbinu kudhibiti mfumko hup.

  Wataalamu wa masuala ya uchumi wanatoa mwito kwa kuimarishwa kwa uzalishaji wa chakula pamoja na kuwepo kwa sheria bora za maendeleo ya biashara.

  Mwezi huu wa January pekee, mfumko umepanda kwa asilimia 1.3 kutokana na kupanda kwa bei ya vyakula pamoja na bidhaa muhimu kama mfano nyumba,mafuta ,umeme na gesi.

  Wakati huo huo Rwanda inalenga ukuwaji wa uchumi wa asilimia 6.8 mwaka 2018.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako