• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya:Kenya yasaka la watalii Ujerumani

  (GMT+08:00) 2018-03-08 18:55:50

  Wizara ya utalii nchini Kenya imeshiriki katika maonyesho ya utalii ya Berlin Ujerumani ili kutafuta soko la watalii zaidi wa nchi hiyo.

  Maonyesho hayo yatawezesha kampuni 42 za uchukuzi wa watalii hapa nchini kuonyesha vivutio vya watalii vya Kenya na kutoa fursa ya kushirikiana na kampuni kubwa za uchukuzi wa watalii na kupata ripoti za hivi punde za ujasusi kuhusu hali ya utalii duniani.

  Asilima 36 ya jumla ya watalii waliozuru hapa nchini mwaka 2017 walitoka katika nchi za bara ulaya.

  Wakati huo huo serikali inalenga kupitisha sheria muhimu zitakazoimarisha ustawi wa sekta ya kifedha .

  Hazina kuu imebainisha mswada wa mpango utoaji mikopo , mswad wa halmashauri ya kifedha, msoko ya hisa , na mswada wa uwekezaji kuwa muhimu na ni miongoni mwa miswada inayotarajiwa kuimarisha sekta hiyo katika mwaka wa kifedha wa 2018/2019 .

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako