• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • mechi kuchezwa nyumbani na ugenini

    (GMT+08:00) 2018-03-09 09:42:31
    Ligi ya mpira wa kikapu inatarajiwa kuanza wikiendi hii mkoani Arusha Tanzania na bingwa atashiriki michuano ya mabingwa jijini Dar es Salaam.

    Mwenyekiti wa chama cha mpira wa kikapu Arusha Said Akilimali amesema mechi za ligi hiyo zitachezwa nyumbani na ugenini kabla ya ubingwa wa mkoa. Timu zitakazoshiriki michuano hiyo itatumia viwanja vyao vya nyumbani ili kupata idadi kubwa ya watazamaji na kuhamasisha vijana kupenda zaidi mchezo huo wa kikapu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako