• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KCCA yabisha hodi hatua ya makundi

    (GMT+08:00) 2018-03-09 09:42:57
    Matokeo ya sare ya ugenini ya 0-0 dhidi ya wenyeji, Saint George mjini Addis Ababa jana, imeiweka kwenye nafasi nzuri timu ya mamlaka ya jiji la Kampala (KCCA) ya kuingia hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika.

    Timu hiyo itahitaji ushindi hata wa goli 1-0 nyumbani Uganda ili kwenda katika hatua ya makundi.

    Matokeo ya mechi nyingine Al Ahly ya Misri iliitandika Mounana ya Gabon goli 4-0 mjini Cairo, Horoya ya Guinea ilishinda 2-1 dhidi ya Generation foot ya Senegal, Yanga ya Tanzania ikikubali kipigo cha 2-1 dhidi ya Township Rollers ya Botswana wakati Etoile Du Sahel ya Tunisia ikiifunga Plateau United ya Nigeria 4-2

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako