• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Niyonsaba wa Burundi arudi na medali ya dhahabu

  (GMT+08:00) 2018-03-09 09:43:46
  Mwanariadha wa kike Francine Niyonsaba wa Burundi amefanikiwa kulinda ushindi wake wa riadha wa mita 800 wa Birmingham mwanzoni mwa wiki huko Uingereza.

  Akipokelewa mjini Bujumbura, Niyonsaba amesema amefurahi kuipeperusha vyema bendera ya Burundi na kunyakua medali ya dhahabu, huo si ushindi wake binafsi bali ni wa Burundi, huku akiwataka vijana kujitokeza katika kujifua kwa mazoezi ya mchezo huo hatimaye Burundi kuwa na wanariadha wengi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako