• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matokeo ya mechi 8 za hatua ya 16 bora za UEFA Europa League zilizochezwa usiku wa jana

    (GMT+08:00) 2018-03-09 09:44:38

    Hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League ilichezwa usiku wa machi 8 kwa michezo nane ya kwanza kuchezwa barani Ulaya. Hatimaye Arsenal yang'ara na kuitandika AC Milan 2-0, huku Dortmund ikikubali kulala kwa 2-1 dhidi ya Salzburg, CSKA Moskva ikikubali kipigo cha 1-0 toka kwa Lyon, na Atletico Madrid ikiifunga Lakomotiv Moskva 3-0, Sporting Cp wao wameifunga Plzen 2-0, nayo Marseille ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Athletic Club, RB Leipzig yenyewe imeshinda 2-1 ndihi ya Zenit, na Lazio imetoka sare ya 2-2 na Dynamo Kyiv.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako