• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kikao cha tatu cha mkutano wa kwanza wa Bunge la 13 la Umma la China chafanyika Beijing

  (GMT+08:00) 2018-03-11 15:33:42

  Kikao cha tatu cha wabunge wote wa mkutano wa kwanza wa Bunge la 13 la Umma la China kimefanyika hapa Bejing. Katika kikao hicho wabunge wamepitisha mswada wa marekebisho ya katiba na kusikiliza ripoti ya kazi iliyotolewa na kamati ya kudumu ya bunge.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako