• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Viongozi wa China washiriki kwenye vikao vya ujumbe wa wabunge wa miji na mikoa

  (GMT+08:00) 2018-03-11 17:30:17

  Viongozi wa China akiwemo rais Xi Jinping, waziri mkuu Li Keqiang, wajumbe wa kudumu wa ofisi ya siasa ya kamati kuu ya Chama cha CPC Bw. Li Zhanshu na Bw. Zhao Leji wamehudhuria kikao cha ujumbe wa wabunge wa miji na mikoa.

  Rais Xi amehudhuria kikao cha ujumbe wa wabunge wa mji wa Chongqing na kuwataka viongozi na umma kushikamana, kuharakisha ujenzi wa mji huo, kufanya juhudi kuhimiza maendeleo yenye ubora na kuboresha maisha ya umma, ili kuinua kazi mbalimbali ya mji huo kwenye ngani ya juu zaidi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako