• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Refa wa Afrika Mashariki achaguliwa kuchezesha kombe la dunia 2018

  (GMT+08:00) 2018-03-12 08:31:35

  Shirikisho la soka duniani (FIFA) limeonesha kuzidi kuwaamini marefa wa Afrika baada ya refa Aden Marwa Range kutokea ligi kuu Kenya kuchaguliwa kwenda kuchezesha kombe la dunia nchini Urusi kama muamuzi msaidizi.

  Maamuzi hayo ya FIFA yanazidi kuleta matumaini katika soka la Afrika upande wa waamuzi, Michuano ya kombe la dunia 2018 itachezwa kwa mwezi mmoja nchini Urusi kuanzia June 14 – July 15 2018.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako