• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Refa mtuhumiwa sakata la kupanga matokeo Burundi asimamsishwa Zanzibar

  (GMT+08:00) 2018-03-12 08:34:59
  Chama cha soka Zanzibar (ZFA) kimemsimamisha refa Mfaume Ali Nassor kwa muda kupisha uchunguzi dhidi yake juu ya tuhuma za rushwa.

  Mfaume pamoja na marefa wengine watatu wa Tanzania Bara, Frank Komba, Israel Mujuni Nkongo na Sudi Lila wanachunguzwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kwa tuhuma za upangaji matokeo.

  Marefa hao walichezesha mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Lydia Ludic ya Burundi na Rayon Sports ya Rwanda Februari 21, mjini Bujumbura.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako