• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya Pipeline, Prisons zafuzu robo fainali Voliboli nchini Misri

  (GMT+08:00) 2018-03-12 08:35:15
  Miamba ya mpira wa wavu (volleyball) wa Kenya, Pipeline wametinga hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Afrika jijini Cairo Misri mchezo uliochezwa mwishoni mwa wikiendi.

  Prisons ilitangulia kufuzu baada ya kuinyuka Douanes ya Burkina Faso kwa seti 3-1 kabla ya Pipeline kujikatia tiketi hiyo kwa kuisambaratisha DGSP ya Congo Brazaville seti 3-0 katika mchezo wa kundi C. Pipeline na Prisons zitakamilisha mechi za makundi dhidi ya FAP na INJS kutoka Cameroon.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako