• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya wazi ya Tenisi ya Paribas: Edmund atupwa nje

  (GMT+08:00) 2018-03-12 08:35:38
  Mchezaji wa tenisi namba moja wa Uingereza Kyle Edmund ametupwa nje ya michuano yaw a wazi ya tennis ya Paribas baada ya kuchapwa 6-4, 6-4 na Daudi Sela wa Israel.

  Kwa sasa Edmund anatarajiwa kupeleka nguvu zote kwenye michuano ya ya wazi ya tennis ya Miami baadae mwezi huu. Edmund alichukua nafasi ya Andy Murray kama mchezaji wa kwanza kwa tennis nchini Uingereza kwa upande wa wanaume.

  Sela atakutana na Marcos Baghdatis wa Cyprus ama Diego Schwartzman kutoka Argentina katika hatua ya 6 bora.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako