• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Shirika la misaada la Iran laeleza utayari wa kutoa misaada eneo la Afrin

  (GMT+08:00) 2018-03-12 08:53:21

  Shirika la hilali nyekundu la Syria SARC limesema liko tayari kutoa misaada ya kibinadamu kwenye eneo la Afrin linalodhibitiwa na wakurdi kaskazini mwa Syria. Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo inasema misaada hiyo inalenga kuitikia mahitaji ya kibinadamu yanayoongezeka kwenye maeneo ya Afrin na Tal Rifat, ambako Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu ICRS ilitoa misaada mwanzoni mwa mwezi huu. Shirika la haki za binadamu la Syria limesema hali ya kibinadamu mjini Afrin ni mbaya, ambapo maelfu ya wakazi wa vitongoji wamekimbilia mjini kutafuta hifadhi, huku wakazi milioni moja wa mji huo pia wakiwa na maisha duni.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako