• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Palestina yapinga Marekani kukusanya na kufanya mkutano kuhusu wa kifadhili wa kimataifa juu ya mgogoro wa kibinadamu katika Ukanda wa Gaza

  (GMT+08:00) 2018-03-12 18:24:24

  Palestina imelaani tangazo lililotolewa na ikulu ya Marekani kuwa itafadhiliandaa mkutano wa wadauwafadhili utakaofanyika jumanne ijayo kuhusu Vikundi vingi vya Palestina vikiwemo Shirika la Uhuru la Palestina (PLO) na Harakati za Mapambano za Kiislam za Palestina (Hamas) vimepinga Marekani kukusanya na kufanya mkutano wa kifadhili wa kimataifa juu ya mgogoro wa kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.

  Mjumbe wanachama wa Kamati Kuu yaChama cha Ukombozi wa Palestina usimamizi wa PLO Bw. Ahmad Majdlani amesema, ili kutatua mgogoro wa kibinadamu wa sasa katika Ukanda wa Gaza, ni hali ya Gaza inahitaji mchakato wa muhimu kutatua matatizo ya kisiasa kwanza kabla ya kushughulikiwa kama ni suala la katika kanda hilo, ikifuatiwa ni masuala ya misaada ya kibinadamu au utoaji msaada.

  Wakati huohuo, msemaji wa Hamas Bw. Hazem Qasem amesema kundi hiloHamas linapinga mkutano huo na makutokubali sharti yalilolote linaloyotolewa na Marekani.

  Uhusiano kati ya Palestina na Marekani umekumbwa na mvutano mkubwa kuanzia mwezi Oktoba mwaka jana, na mvutano huo uliongezeka baada ya rais Donald Trump wa Marekani kutambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel na kutangaza kuhamisha ofisi za ubalozi wa nchi hiyo kutoka Tel Aviv kwenda mjini Jerusalem.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako