• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Rais Kagame asema kawi ya jua itasaidia kukabili mabadiliko ya tabianchi

  (GMT+08:00) 2018-03-12 19:21:57

  Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kawi ya jua itakuwa njia mojawepo muhimu ya kutatua tatizo la mabadiliko ya tabianchi.

  Kagame aliyasema hayo wakati akihutumia mkutano wa kimataifa wa kawi ya jua mjini New Delhi, India.

  Rais huyo amesema nchi zenye jua kali bado zinaendelea kukosa kawi ilhali zinaweza kuzalisha kutoka kwa miale.

  Rwanda ni miongoni mwa nchi barani Afrika zinazowekeza kwenye kawi ya jua ili kupunguza kutegemea vyanzo vingine.

  Mojawepo wa miradi yake nikama ule wa wilaya ya Rwamagana unaozalisha megawati 8.5.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako