• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Klabu Bingwa mpira wa wavu barani Afrika: Pipeline na Prisons zatinga nusu fainali

  (GMT+08:00) 2018-03-13 08:35:57
  Magwiji wa mpira wa wavu (volleyball) wa Kenya, Pipeline na Prisons wametinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya wanawake ya klabu bingwa Afrika michezo iliyochezwa jana jijini Cairo Misri.

  Timu ya Prisons imewafunga timu ya watoza ushuru ya Rwanda kwa seti 3-0, huku Pipeline wao wakiwafunga Cameroon Bafia kwa seti 3-2. Timu hizo sasa zitakutana leo katika mchezo wa fainali ya michuano hiyo mjini Cairo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako