• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya vijana ya Chalenji (CECAFA 2018): Maandalizi yamekamilika.

  (GMT+08:00) 2018-03-13 08:37:21
  Maandalizi ya michuano ya Chalenji kwa vijana chini ya miaka 17 yamekamilika kwa asilimia kubwa. Katibu mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye amesema, michuano hiyo inatarajiwa kuanza March 29 na kukamilika April 14 mwaka huu nchini Burundi.

  Timu tisa toka Afrika Mashariki na kati zitachuana kuwania ubingwa wa michuano hiyo, ambazo ni wenyeji Burundi, Uganda, Kenya, Ethiopia, Zanzibar, Somalia, Djibouti, South Sudan na Rwanda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako