• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tottenham kukamilisha ujenzi wa uwanja: utakuwa na viingilio ghali zaidi, Uingereza

  (GMT+08:00) 2018-03-13 08:36:55
  Klabu ya Tottenham ya Uingereza iko katika hatua za mwisho kukamilisha uwanja wake mpya wa kisasa ambao utakuwa na uwezo wa kubeba watu 62,000.

  Baada ya kukamilika, inaaminika uwanja huo utakuwa kati ya viwanja ghali zaidi nchini Uingereza. Katika viwango vya viingilio vilivyotolewa zikiwemo tiketi za msimu, zinaifanya klabu hiyo pia na uwanja ghali zaidi kwa maana ya gharama za kuingia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako