• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi yasimama baada ya mmiliki wa timu kuingia na bastola uwanjani

  (GMT+08:00) 2018-03-13 08:37:16
  Ligi kuu ya Ugiriki jana imetangazwa kusimamishwa kwa muda usiojulikana kufuatia vurugu zilizotokea katika mchezo wa PAOK dhidi ya AEK Athens uliochezwa Jumapili.

  Sababu kubwa iliyofanya ligi hiyo kusimama ni kutokana narais wa klabu ya PAOK, Ivan Savvidis kuingia uwanjani na bastola kupinga maamuzi ya refa Giorgios kulikataa goli la timu yake lililofungwa dakika ya 90 ikisemekana kuwa ni offside lakini mchezo huo uliahirishwa masaa mawili badaye baada ya wachezajiwa AEK kugoma kurudi uwanjani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako