• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Raia tisa wa Iraq wauawa na wapiganaji wa IS

  (GMT+08:00) 2018-03-13 08:54:17

  Chanzo cha habari kutoka kwa wanamgambo wa Shia nchini Iraq kinasema, raia tisa wa Iraq wameuawa na wapiganaji wa kundi la Islamic State kaskazini mwa Iraq. Kwa mujibu wa chanzo hicho, wapiganaji wa IS walijifanya askari wa jeshi la serikali na kuweka kituo cha ukaguzi kwenye barabara iliyoko kaskazini mwa mji wa Tuzhurmatu jimboni Salahudin usiku wa Jumapili, wakashambulia magari ya kiraia yaliyokuwa yanapita, na kusababisha vifo vya raia tisa, na wengine kadhaa kujeruhiwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako