• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Vita ya biashara kuleta hasara ya dola bilioni 470 kwa uchumi wa dunia

  (GMT+08:00) 2018-03-13 08:54:35

  Wachumi wa Shirika la habari za kiuchumi la Bloomberg wameonya kuwa uamuzi wa Marekani wa kutoza ushuru wa kiwango cha juu kwa chuma cha pua na alumini kutoka nje, huenda utazusha vita ya biashara, itakayoleta hasara ya dola bilioni 470 za kimarekani kwa uchumi wa dunia kabla ya mwaka 2020. Ripoti iliyotolewa jana na Bloomberg inasema uchumi wa dunia utapungua kwa asilimia 0.5 ifikapo mwaka 2020, ikilinganishwa na makadirio yasiyo na ushuru huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako