• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu wa Palestina kufanya ziara Gaza kwa lengo la "kuiwezesha serikali ya huko"

  (GMT+08:00) 2018-03-13 08:54:50

  Ofisa mwandamizi wa Palestina amesema waziri mkuu wa nchi hiyo Bw. Rami Hamdallah na kiongozi wa shirika la ujasusi Bw. Majid Farraj leo wanafanya ziara kwenye ukanda wa Gaza. Kwenye ziara hiyo maofisa hao watajadili nyaraka muhimu zinazohusiana na kuiwezesha serikali ya Palestina kwenye ukanda wa Gaza. Waziri mkuu Hamdallah amesema kuiwezesha serikali kwenye ukanda wa Gaza sio matakwa, bali ni kuipa mamlaka kwa ajili ya maafikiano ya kitaifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako