• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Sudan yafungua mlango kwa uwekezaji katika uranium

  (GMT+08:00) 2018-03-13 10:12:30

  Waziri wa biashara wa Sudan Bw. Hatim al-Sir amesema serikali ya Sudan iko wazi kwa uwekezaji kwenye sekta ya madini ya uranium.

  Bw. Al-Sir amesema amefanya mazungumzo na rais Omar al-Bashir kuhusu kufungua mlango kwa uwekezaji katika sekta ya madini ya uranium baada ya majadiliano na mamlaka ya usalama.

  Pia amesema wamekubali kuzifanyia marekebisho sheria za biashara, fedha za kigeni hasa kanuni ya madini ambayo inapiga marufuku magendo, uhifadhi na usafirishaji wa madini yenye thamani kwenye masoko ya kimataifa chini ya bei za kawaida.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako