• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka nchini Kenya: Rais wa FKF akerwa na mitandao ya kijamii kuchangia kuua soka

  (GMT+08:00) 2018-03-14 08:56:36
  Rais wa shirikisho la soka Kenya (FKF), Nick Mwendwa, amewataka wadau wa soka nchini humo kuacha kueneza siasa za chuki kwenye mitandao ya kijamii na badala yake kuunga mkono juhudi za kuinua soka la Kenya.

  Tamko la Mwendwa limetokana na hoja ambazo zimekuwa zikiibuliwa na wadau wa soka ambao wamekuwa wakihoji utendaji wa ofisi ya rais huyo wa soka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako