• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ndondi: Timu ya Taifa ya Ndondi ya Tanzania yajifua kujiandaa michezo ya Madola

  (GMT+08:00) 2018-03-14 08:56:57
  Timu ya taifa ya ndondi ya Tanzania imeanza kujifua kwa ajili ya kujiandaa kwa michuano ya jumuiya ya madola, mashindano yatakayoanza April 4 hadi 15 mwaka huu nchini Australia.

  Nahodha msaidizi wa timu hiyo amesema timu inajiandaa vizuri ili iweze kupeperusha vyema bendera ya Tanzania kwenye michuano hiyo na kuhakikisha wanarudi na medali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako