• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya Tenisi ya Indian Wells: Serena aadabishwa na dada yake

  (GMT+08:00) 2018-03-14 08:57:51
  Mwanadada Venus Williams amefanikiwa kumfunga mdogo wake Serena Williams hatua ya raundi ya tatu ya michuano ya Indian Wells na kuwa mwisho wa safari ya Serena katika michuano hiyo tangu arejee katika tenisi baada ya uzazi.

  Serena aliyewahi kuwa mchezaji namba moja kwa ubora duniani amepoteza mchezo huo kwa jumla ya seti 6-3, 6-4. Venus yeye amefanikiwa kusonga mbele hadi raundi ya 16 ambapo atakabiliana na Anastasija Sevastova.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako