• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Sierra Leone kufanya duru ya pili ya uchaguzi mkuu Machi 27

  (GMT+08:00) 2018-03-14 09:07:16

  Tume ya uchaguzi ya Sierra Leone imesema duru ya pili ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo itafanyika Machi 27, ambapo wagombea wawili wakubwa watapambana tena baada ya kushindwa kupata zaidi ya asilimia 55 ya kura kwenye uchaguzi wa duru ya kwanza uliofanyika tarehe 7 mwezi huu. Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa na tume hiyo, kwenye duru ya kwanza Bw Samura Kamara wa chama tawala cha APC alipata asilimia 42.7, huku Bw Julius Maada Bio wa chama cha upinzani SLPP akipata asilimia 43.3 ya kura.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako