• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri wa ulinzi wa Marekani afanya ziara ya ghafla Afghanistan

  (GMT+08:00) 2018-03-14 09:07:55

  Waziri wa ulinzi wa Marekani Bw. James Mattis amefanya ziara ya ghalfa nchini Afghanistan, na kubadilishana maoni na rais Ashraf Ghani wa Afghanistan kuhusu vita dhidi ya ugaidi na mchakato wa amani wa nchi hiyo. Hii ni mara ya kwanza kwa Bw. Mattis kufanya ziara nchini Afghanistan mwaka huu. Kabla ya kuwasili Kabul, Bw. Mattis aliwaambia wanahabari kuwa serikali ya Bw. Ghani na kundi la Taliban huenda watafikia mwafaka wa kisiasa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako