• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Katibu mkuu wa UN atarajia uhusiano mzuri na waziri mpya wa mambo ya nje wa Marekani

  (GMT+08:00) 2018-03-14 09:08:11

  Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Bw. Stephane Dujarric amesema Bw. Antonio Guterres hana maoni yoyote kuhusu uamuzi wa rais Donald Trump wa Marekani wa kumfuta kazi waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Bw. Rex Tillerson, lakini anatarajia kuwa na uhusiano mzuri na mtu atakayeshika wadhifa huo. Baada ya kumwondoa Bw. Tillerson, rais Trump amemteua mkurugenzi wa Shirika la ujasusi la Marekani CIA Bw. Mike Pompeo kuwa waziri mpya wa mambo ya nje.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako