• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • OECD lapandisha makadirio yake ya ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka huu na mwaka kesho

  (GMT+08:00) 2018-03-14 10:04:00

  Shirika la ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo OECD jana huko Paris lilitoa ripoti kuhusu maendeleo ya uchumi wa dunia likipandisha makadirio yake ya ongezeko la uchumi wa dunia kwa mwaka huu na mwaka kesho.

  Ripoti hiyo inaona kuwa ongezeko la uchumi wa dunia kwa mwaka huu na mwaka kesho litafikia asilimia 3.9, kasi ambayo imepandishwa kwa asilimia 0.2 na asilimia 0.3 mtawalia ikilinganishwa na makadirio yaliyotolewa mwezi Novemba mwaka jana.

  Ripoti pia inakadiria kuwa ukuaji wa uchumi wa kundi la nchi 20 kwa mwaka huu na mwaka kesho utafikia asilimia 4.1 na asilimia 4.0 mtawalia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako