• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Steven Hawking afariki akiwa na umri wa miaka 76

  (GMT+08:00) 2018-03-14 18:06:47

  Mwanafikizia maarufu wa Uingereza Stephen Hawking amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.

  Profesa Hawking amefariki usingizini usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Cambridge mjini London. Hawking ameandika vitabu vingi vya sayansi ikiwemo 'A Brief History of Time', licha ya kutumia gari la kutembelea baada ya kupata maradhi yanayoathiri mfumo wa neva mwaka 1963.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako