• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka-Tanzania, Makamu wa Rais wa TFF-Wambura ahojiwa kufuatia tuhuma nzito zinazomkabili

    (GMT+08:00) 2018-03-15 08:44:18

    Makamu wa Rais wa shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania Michael Richard Wambura amefikishwa kwenye kamati ya maadili ya shirikisho hilo kutokana na tuhuma tatu tofauti zinazomkabili.

    Tuhuma hizo ni kupokea fedha za Shirikisho ikiwa ni malipo yasiyo halali, kughushi barua pamoja na kushusha hadhi ya shirikisho hilo.

    Kwa mujibu wa kanuni Makosa hayo yote ni kinyume na kifungu cha 73(1), 73(7) ya kanuni za maadili ya TFF toleo la 2013 na ibara ya 50(1) ya Katiba ya TFF 2015.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako