• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Halmashauri yamaslahi ya vijijini yahimiza teknolojia kwenye uchukuzi

    (GMT+08:00) 2018-03-15 20:52:07

    Halmashauri ya masuala ya vijijini nchini Rwanda (RURA) imetoa mwito kwa wananchi wanaoishi vijijini kutumia teknolojia za kisasa katika sekta ya uchukuzi.

    Katika azimio la hivi karibuni la kuanzisha huduma mpya za boda boda kupitia kwa mfumo wa simu za mkononi ,afisa mkuu wa uchukuzi amesema itakuwa rahisi kwa wateja kutumia usafiri kwa njia hiyo na pia itakua bei nafuu.

    Emmanule Asaba amesema kuna haja kubwa ya kuimarishwa kwa huduma hiyo na kufikishwa katika sehemu zote za vijijini.

    Wizara ya mawasiliano ya kisasa ya ICT imewataka wahudumu wa boda boda kusajiliwa kwa tovuti hiyo kwenye simu zao ili wajiongezee idadi ya wateja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako