• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanawake, vijana na walemavu wahimizwa kutumia vyema mgao wao

    (GMT+08:00) 2018-03-16 20:07:40

    Wanawake, vijana na walemavu kutoka kaunti ya Pokot magharibi nchini Kenya wamepewa changamoto kutumia vyema fedha ambazo zinatolewa na serikali za kitaifa na kaunti ili kuinua maisha yao. Changamoto hii inakuja muda mchache tu baada ya serikali kuu kusambaza mamilioni ya fedha kila mwaka kunufaisha kina mama, vijana na walemavu.Serikali ya Kenya imekuwa ikilenga makundi hayo kupitia kwa fedha za uwezo, fedha za hazina ya wanawake, fedha za hazina ya vijana na fedha za kuimarisha maisha katika jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako