• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpango wa kufanyia marekebisho ya vyombo vya Baraza la serikali la China wapitishwe kwenye mkutano wa Bunge la umma

    (GMT+08:00) 2018-03-17 10:05:29
    Mkutano wa kwanza wa Bunge la 13 la umma la China leo asubuhi umepitisha mpango wa kufanyia mabadiliko vyombo vya baraza la serikali la China.
    Marekebisho hayo yanalenga kuboresha na kurekebisha vyombo  muhimu vya mfumo wa serikali ili kuongeza uwezo na ufanisi wao, na  wizara na idara mbalimbali zitawatumikia vizuri zaidi wananchi.
    Hii ni mara ya saba kwa Baraza la serikali la China kufanyiwa marekebisho tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na kufungua mlango mwaka 1978.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako