• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Xi Jinping achaguliwa kuwa rais wa awamu mpya wa China

    (GMT+08:00) 2018-03-17 10:54:46
    Kikao cha tano cha Mkutano wa kwanza wa awamu ya 13 ya Bunge la umma la China kilichofanyika leo asubuhi hapa Beijing, kimepiga kura na kumchagua Bw. Xi Jinping kuwa rais wa Jamhuri ya watu wa China na mwenyekiti wa Kamati kuu ya kijeshi ya Jamhuri ya Watu wa China.
    Mkutano huo pia umewachagua Bw. Li Zhanshu kuwa spika wa Bunge la 13 la umma la China, na Bw. Wang Qishan kuwa makamu wa rais wa Jamhuri ya Watu wa China.
    Hafla ya kuapa kwa Katiba ya nchi imefanyika baada ya kikao hicho, na hii ni mara ya kwanza kwa viongozi wa China kuapa kwa Katiba ya nchi tangu utaratibu wa kuapa kwa Katiba ya nchi utekelezwe.
     
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako