• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikao cha tisa cha kamati ya kudumu ya utendaji ya mkutano wa kwanza wa bunge la 13 la umma la China chafanyika

    (GMT+08:00) 2018-03-18 18:19:31

    Kikao cha tisa cha kamati ya kudumu ya utendaji ya mkutano wa kwanza wa bunge la 13 la umma la China kimefanyika hapa Beijing na kuendeshwa na Mwenyekiti wa kudumu wa kamati hiyo Bw. Li Zhanshu.

    Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Watu wa China, waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang ametoa pendekezo la naibu mawaziri wakuu, wajumbe wa taifa, mawaziri wakuu, wakurugenzi wa kamati mbalimbali, mkuu wa banki kuu, mhasibu mkuu na katibu mkuu katika kikao hicho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako