• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ni Man United na Spurs nusu fainali, huku Chelsea na Southampton.

    (GMT+08:00) 2018-03-19 08:39:28

    Timu ya Manchester United itamenyana na Tottenham Hotspur uwanja wa Wembley katika nusu fainali ya kombe la FA England itakayozikutanisha timu hizo kali.

    Chelsea iliyoifunga Leicester City 2-1 katika mechi iliyodumu kwa dakika 120, itakutana na Southampton katika nusu fainali nyingine ya michuano hiyo.

    Mechi zote mbili zinatarajiwa kuchezwa April 21 na 22 katika uwanja wa Taiga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako