• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wakulima wanalia kutengwa kwa mavuno yao kutokana na uagizaji wa mahindi kutoka Uganda.

    (GMT+08:00) 2018-03-19 19:31:55

    Wasangaji tayari washanza kuagiza mifuko milioni 6.6 ya mahindi kutoka Uganda, huku wakulima katika bonde la ufa wanalia kutengwa na mavuno yao baada ya wizara ya kilimo kupunguza chini ununuzi.

    Wakulima sasa wanasema kuwa biashara ya mpakani ya nafaka inawaumiza wakati wasagaji wanafaidika.

    Aidha wameiomba serikali kuzuia uagizaji wa nafaka, wakisema wasagaji wanatumia fursa ya soko la pamoja la Afrika Mashariki kuagiza mahindi kutoka Uganda na kuweka akiba ya mazao ili kusababisha uhaba/ ukosefu wa bandia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako