• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Magavana wa benki kuu walihimiza serikali katika bara zima kuboresha usimamizi wa kiuchumi

    (GMT+08:00) 2018-03-19 19:37:15
    Magavana wa benki kuu kutoka kwa nchi 20 za Kiafrika katika mkutano uliofanyika Kampala walihimiza serikali katika bara zima kuboresha usimamizi wa kiuchumi ili kufikia ukuaji endelevu.

    Akizungumza katika mkutano, Naibu Mkuu wa Benki ya Uganda, Dk Louis Kasekende, alishauri Umoja wa Afrika kuwa na serikali zakuwajibika, hasa wakati magava wa benki kuu hawakubaliana na kile tunacho tia saini .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako