• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sayansi na teknolojia ya China kutoa mchango kwa dunia

    (GMT+08:00) 2018-03-19 19:53:53

    Waziri mpya wa sayansi na teknolojia wa China Bw. Wang Zhigang amesema kuhimiza sayansi na teknolojia ya China kutatoa mchango mkubwa kwa dunia.

    Bw. Wang Zhigang amesema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mapema leo. Amesema anazingatia jinsi atakavyojaribu kutoa nguvu za uzalishaji za sayansi na teknolojia na kuifanya sekta hiyo itoe mchango mkubwa mpya kwa maendeleo ya kisasa ya China. Pia amesema kazi za sayansi na teknolojia zinapaswa kufanywa ili sekta hiyo ya China ifikie mstari wa mbele duniani, kuangalia mahitaji ya mkakati mkubwa ya taifa, kuangalia maendeleo ya uchumi na jamii, na kuandaa mazingira bora zaidi ya kijamii kwa wafanyakazi wanaoshughulikia sayansi na teknolojia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako