• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Cameroon anatarajiwa kutembelea China

  (GMT+08:00) 2018-03-19 19:55:11

  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang amesema, rais Paul Biya wa Cameroon atafanya ziara rasmi nchini China kuanzia tarehe 22 hadi tarehe 24 mwezi huu.

  Akiwa nchini China, rais Biya atakutana na mwenzake wa China Xi Jinping ambapo watajadiliana masuala mbalimbali ya pande hizo mbili pamoja na ya kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako