• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KCB yatinga fainali Kenya Cup

    (GMT+08:00) 2018-03-20 10:07:39
    Mabingwa watetezi KCB wametinga fainali ya ligi kuu ya raga (Kenya Cup) kwa msimu wa 2017/2018 baada ya kuzima Impala Saracens 15-0 mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Ruaraka jijini Nairobi.

    KCB sasa wanatarajiwa kumenyana na Kabras Sugar katika mchezo wa fainali March 24 mwaka huu. Kabras wao wametinga fainali baada ya kuwaondoa Home Boys 29-13.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako