• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ronaldo apiga Hat-Trick

    (GMT+08:00) 2018-03-20 10:08:08

    Christiano Ronaldo ameweka rekodi ya kufunga hat-trick ya 50 katika maisha yake ndani ya Real Madrid baada ya kuichapa Girona magoli 6-3 katika mechi ya ligi kuu ya Uhispania La Liga.

    Ronaldo alifunga bao la kwanza kwa kumalizia pasi ya Toni Kroos, Girona wakasawazisha na kufanya matokeo kuwa 1-1, Real Madrid ilifanya mashambulizi na kuongeza magoli mawili moja likifungwa na Ronaldo tena, Katika muda wa majeruhi, Christian Ronaldo aliongeza goli na kupiga hat-trick. Madrid sasa wako pointi 15 nyuma ya vinara wa ligi hiyo Barcelona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako