Wakati kikosi hicho kikisafiri, mshambuliaji John Rafael Bocco, ameshindwa kujumuika na wenzake kwenye safari kutokana na kuwa majeruhi naye Hamis Abdallah amebaki kutokana na matatizo ya kiafya.
Mbali na wachezaji hao, wengine walioachwa ni Thomas Ulimwengu na Farid Mussa ambao inaelezwa wamekosa ruhusa kutoka timu wanazochezea.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |