• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2018 yapangwa

    (GMT+08:00) 2018-03-20 10:24:03

    Nchi za Algeria, Morocco na Tunisia zimeongoza kwa kuingiza timu kwenye hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika mwaka huu baada ya mechi za hatua 32 bora kukamilika mwishoni mwa wiki.

    Timu nyingine zilizofuzu hatua hiyo ya 16 bora ni Angola de Agosto ya Angola, Township Rollers ya Botswana, TP Mazembe ya Jamhuri ya KIdemokrasia ya Congo (DRC), Al-Ahly ya Misri na Horoya ya Guinea, nyingine ni Mamelodi Sundowns, Mbabane Swallows ya Swaziland, AS Togo- Port ya Togo, KCCA ya Uganda na ZESCO United ya Zambia. Kutakuwa na makundi manne kila moja litakuwa na timu nne na ashindi wawili wa kila kundi watakwenda robo fainali ya mtoano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako