Amesema makubaliano hayo yatawezesha ukuaji wa haraka wa kiuchumi na biashara barani Afrika.
Mahamat ameyasema hayo mjini Kigali ambapo mkutano usiokuwa wa ratiba wa 18 wa umoja wa Afrika unaendelea.
Mwenyekiti huyo aidha amezitaka nchi za Afrika kutokuwa na hofu kuhusu makubaliano hayo kwani hali kama hiyo itakuwa kizuizi cha biashara.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |