• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Wakulima wa mihogo Rwanda waomba msamaha wa mikopo

    (GMT+08:00) 2018-03-20 18:15:34
    Wakulima wa mihogo ambao walipata mkopo kutoka kwa benki ya maendeleo ya Rwanda RDB wanaomba kusamehewa mkopo huo kwani mihogo yao iliharbiwa na virusi.

    Mkopo huo wa franc milioni 953 ulitolewa kwa wakulima 29 kati yao 24 wakiwa ni kutoka wilaya ya Ruhango na wengine wilaya za Kamonyi, Nyanza na Gisagara.

    Walitakiwa kulipa mkopo huo mwaka 2014 baada ya kuuza mihogo yao lakini hadi sasa hakuna aliyelipa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako